January 27, 2015


Kiungo mwenye kasi wa Yanga, Simon Msuva ameshindwa kufanya mazoezi na wenzake leo kutokana na kubanwa na ugonjwa wa malaria.


Msuva alifika kwenye mazoezi ya Yanga eneo la Uwanja wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar na kuzungumza na kocha wake, Hans van der Pluijm.

Baada ya hapo, Msuva alikaa kando pamoja na Haruna Niyonzima ambaye pia hakufanya mazoezi.


Yanga imekuwa ikiendelea kujifua kwenye Viwanja vya hivyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic