January 27, 2015


Kwa mara ya kwanza, Kipa Victor Valdes ameichezea Manchester United, kwa upande wa timu ya vijana chini ya miaka 21.


Hata hivyo Valdes hajaweza kuikoa Man United kutoka bila kufungwa baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya vijana hao wa Liverpool.

Kipa huyo mkongwe anajulikana kwa kazi yake pevu akiwa na Barcelona ambayo alichukua kila kombe linalotambulika.


Manchester United: Victor Valdes, Patrick McNair, Tom Thorpe, Tyler Blackett, Marrick Vermijl, Anderson (Liam Grimshaw), Andreas Pereira (James Weir), Reece James, Nick Powell, Jesse Lingard, Saidy Janko
Goals: Powell 34, McNair 47 
Liverpool: Lawrence Vigouroux, Ryan McLaughlin (Madger Gomes), Joe Maguire, Conor Randall, Jordan Williams, Pedro Chirivella, Sergi Canos, Cameron Brannagan, Jerome Sinclair, Jordan Ibe, Oluwaseyi Ojo.
Goal: Sinclair 42 








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic