March 29, 2015

  

Yale maneno kwamba Gareth Bale hana msaada katika kikosi cha timu yake ya taifa ya Wales, sasa yamekwisha baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kufunga mabao mawili dhidi ya Israel.

Katika mechi hiyo iliyochezwa mjini Macabi, Bale amefunga mawili wakati Israel ikibuka na ushindi wa mabao 3-0 na kujiweka vizuri katika kuwania kufuzu kucheza Kombe la Mataifa ya Ulaya.

Bao moja kati ya hayo matatu ya Wales lilifungwa na kiungo nyota wa Arsenal, Aaron Ramsey.

Israel (4-3-3): Marciano 6; Dgani 5.5, Ben Haim I 5.5, Tibi 3, Ben Harush 6; Yeini 5, Natcho 5, Refaelov 5; Ben Haim II 5 (Biton 60’ 5), Zahavi 6 (Sahar 71’ 5), Damari 4 (Hemed 44’ 5)
Booked: Refaelov
Sent off: Tibi
Manager: Eli Guttman 5
Wales (5-3-1-1): Hennessey 6; Gunter 6, Collins 6, Williams 7, Davies 7, Taylor 7; Ramsey 7.5 (MacDonald 86’), Allen 7, Ledley 6.5 (Vaughan 48’ 6); Bale 8; Robson-Kanu 6.5 (Vokes 69’ 6.5)
Manager: Chris Coleman 7
Referee: Milorad Mazic 7
MoM: Bale 











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic