March 29, 2015


Steven Gerrard ameifungia timu yake mabao ya kusawazisha wakati ikitoka sare ya 2-2 dhidi ya kikosi cha marafiki wa Jamier Carragher.


Mechi hiyo ya hisani kwenye Uwanja wa Anfield, Liverpool imewavutia mashabiki wengi huku Didier Drogba na Mario Balotelli wakifunga mabao upande wa kikosi cha Carragher.

Marafiki wa Carragher walikwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa mabao hayo mawili, kabla ya rafiki wa Gerrard nao kujibu.























0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic