March 30, 2015

Jumba la kifahari lililokuwa linamilikiwa na bondia Mike Tyson litabadilishwa na kuwa kanisa.


Jumba hilo lililokuwa mali ya Tyson liko katika eneo la Southington, Ohio nchini Marekani.

Tyson alilazimika kuliuza jumba hilo mwaka 1999 kwa kitita cha pauni milioni 1.3 baada ya kukumbwa na kashfa ya ubakaji.

Muonekano wa jumba hilo pamoja na kujengwa na kunakshiwa kifahari, limekuwa likionekana kama gofu.



















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic