March 1, 2015

Manchester City imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kutenga pauni milioni 100 ili kumnasa mshambuliaji Luis Suarez.


Suarez sasa anakipiga Barcelona ambayo ilimnunua kwa pauni milioni 75 kutoka Liverpool.


Mshambuliaji huyo raia wa Uruguay alipiga bao zote mbili wakati Barcelona ilipoitwanga Man City kwa mabao 2-1 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mjini Manchester.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic