March 1, 2015

Stand United imejiongezea pointi tatu baada ya kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar.

mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara imepigwa leo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

Mnigeria Chidiebere maarufu kama Chidi ndiye amefunga mabao yote mawili.

Chidi alifunga bao moja jana lakini mechi hiyo ikasimama katika dakika 80 kutokana na mvua kubwa.


Dakika 10 za mwisho zimemaliziwa leo na Chidi akafunga bao hilo muhimu la pili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic