March 28, 2015


Ikiwa ndiyo mechi yake ya kwanza kuichezea England, Harry Kane ameifungia bao saafi ikiwa ni sekundu kadhaa tu baada ya kuingia uwanjani kuchukua nafasi ya nahodha Wayne Rooney.


Rooney hakutoka mikono mitupu, naye alifunga bao katika dakika ya 6. Danny Welbeck akaongeza katika dakika ya 45, na Raheem Sterling akapiga dakika ya 58.
Kane anayekipiga Tottenham alifunga katika dakika ya 73 na sasa ndiye gumzo kwa Waingereza kwamba wamepata mcheka na nyavu, mtawakoma!

ENGLAND (4-3-3): Hart 7, Clyne 5.5, Cahill 6, Jones 6, Baines 5.5, Henderson 7 (Barkley 71, 7), Carrick 7.5, Delph 7.5, Sterling 8, Welbeck 8.5 (Walcott 76), Rooney 8 (Kane 71, 8). Subs not used: Butland, Smalling, Jagielka, Milner, Townsend, Mason, Gibbs, Walker, Green.
Goals: Rooney 6, Welbeck 45, Sterling 58, Kane 73
Booked: Sterling 
Manager: Roy Hodgson 7 
LITHUANIA (4-4-1-1): Arlauskis 7; Freidgeimas 5, Zaliukas 6, Kijanskas 5, Andriuskevicius 7.5 (Slavickas 83); Chvedukas 6, Zulpa 6.5, Mikuckis 6 (Stankevicius 66, 6), Mikoliunas 6.5 (Kazlauskas 88); Cernych 6; Matulevicius 7. Subs not used: Zubas, Vicius, Vaitkunas, Sirgedas, Luksa, Beniusis, Panka, Borovskij, Cerniauskas.
Booked: Zaliukas, Kazlauskas
Referee: Pavel Kralovec (Czech Republic) 6
Attendance: 83,671 
Ratings by Rob Draper










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic