March 27, 2015

Umbo la bondia Mchina Wang Xin Hua limekuwa gumzo kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi nchini.


Wengi wamekuwa wakivutiwa na umbo lake linavyoonyesha kuwa la mazoezi huku wakijiuliza kama Mohammed Matumla kama atamuweza.

Matumla ambaye ni mtoto wa bondia nyota wa zamani, Rashid Matumla, anapanda ulingoni leo kumvaa Mchina huyo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar.

Mshindi wa mchezo wa leo atapata nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi wakati wa pambano kubwa zaidi kati ya Floyd Mayweather dhidi ya Manyny Pacquiao litakalopigwa Mei 2 jijini Las Vegas, Marekani.


Suala la m

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic