March 28, 2015

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Yanga, Jerry Muro amesema wanaondoka Jumatano na mechi hiyo itapigwa Jumapili ijayo.


Yanga inatarajia kwenda Zimbabwe kuwavaa FC Platinum katika mechi ya pili ya Kombe la Shirikisho.

“Sasa tunajua pambano litacheza tarehe nne. Awali tulikuwa hatuna uhakika.

“Kwa hiyo tunaondoka tarehe moja kwenda Zimbabwe kwa ajili ya mechi hiyo,” alisema Muro.

Yanga ilianza vizuri mechi ya kwanza baada ya kuichapa mabao 5-1.

Ili kusonga mbele inahitaji sare ya aina yoyote.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic