Zlatan Ibrahimovic si mgeni kwako, jana amepiga bao mbili na
kuiwezesha Sweden kushinda mabao 2-0 katika michuano ya kuwania kucheza Kombe
la Mataifa Ulaya.
Sweden ilikuwa ugenini na nahodha huyo akaonyesha umuhimu wake
kama ambavyo amekuwa akifanya katika klabu yake ya PSG kwa kupiga bao hizo
mbili.
0 COMMENTS:
Post a Comment