April 19, 2015

Mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri na beki Juma Nyosso wamekutana kwa mara nyingine baada ya ile ishu ya kudhalilishana.


Lakini safari hii, licha ya Simba kulala kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Nusura Maguri amvunge Nyosso kiuno.

Maguri alimpiga Nyosso bonge la chenga, lakini Nyosso akaonyesha kama hawezi kukubali akitaka kugeuka bila ya mafanikio.

Juhudi za kutaka kugeuka ghafla zilishindikana na Nyosso kujikuta akianguka kama mzigo.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic