April 27, 2015


Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane ameshinda tuzo ya kijana bora wa mwaka ya PFA.


PFA ni tuzo ya wachezaji wa kulipwa wa England ambayo hutolewa kila mwaka kwa vipengele tofauti.

Mshambuliaji huyo hatari wa Spurs ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwapiku kipa David De Gea wa Man United na Raheem Sterling wa Liverpool.


Kane aliyeifungia Spurs mabao 30 katika michuano yote ameibeba tuzo hiyo kama ilivyokuwa ikitarajiwa na wengi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic