April 18, 2015

Cristian Ronaldo angejilaumu sana baada ya kukosa penalti wakati Madrid ikiongoza kwa bao moja. Lakini baadaye akawa shujaa kwa kufunga bao la tatu wakati Madrid ikishinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Malaga.


Mabao mengi ya Madrid yalifungwa na Sergio Ramos na James Rodriguez.

Real Madrid: Casillas, Pepe, Ramos, Marcelo, Arbeloa (Carvajal 76'), Kroos, Rodriguez, Modric (Illarramendi 60'), Isco, Ronaldo, Bale (Hernandez 5')
Subs not used: Navas, Silva, Fernandez, Jese
Booked: Arbeloa, Kroos
Goals: Ramos 24' Rodriguez 69' Ronaldo 90'
Malaga: Kameni, Angeleri, Roseles, Boka, Sanchez, Amrabat, Garcia, Recio (Damian Tissone 75'), Castillejo (Horta 81'), Darder (Duda 87), Juanmi
Subs not used: Guerra, Ochoa, Torres, Filipenko
Booked: Sanchez, Damian Tissone
Goals: Juanmi 71'







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic