April 21, 2015

 Beki wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell ameamua kuliuliza jumba lake la kisasa lililo jijini London.


Taarifa zimeeleza Campbell ameamua kuliuza jumba hilo kwa kitita cha pauni milioni 6 na inaelezwa ni kutokana na kutokuwa katika hali nzuri kifedha.

Imeelezwa Campbell aliuza jumba lake jingine mwanzoni mwa mwaka huu kwa kitita cha pauni milioni 20.

Hata hivyo kumekuwa na taarifa kwamba Campbell ameamua kuliuliza jumba hilo akiwa katika harakati za kukwepa kodi.

Beki huyo wa zamani wa Arsenal ameendelea kukaa kimya kuhusiana na hilo huku mipango ya mauzo ikiendelea.


CAMPBELL AKIWA NA MKEWE FIONA

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic