April 21, 2015

Mashabiki wa mji wa St Etienne nchini Ufaransa walipata bahati kubwa kuwaona magwiji wa soka wakipambana.


Timu mbili za marafiki wa Zinedine Zidane na Ronaldo di Lima zikipambana kupambana na umasikini.

Timu ya Zidane ilishinda kwa mabao 9-7 dhidi ya ile ya Ronaldo lakini ilikuwa raha ya aina yake.

Wakongwe wengine kama
Clarence Seedorf, Fabian Barthez, Jay-Jay Okocha na Gianluca Zambrotta nao walionyesha ukali wao.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic