April 26, 2015

Kocha wa timu ya vijana ya England, Gareth Southgate ametamba kuwa kizazi kijacho cha nchi hiyo kitakuwa tishio.



Southgate amesema vijana wengi wa England hasa katika kikosi cha U21 wana vipaji na uwezo wa juu.
Ametamba wataendelea kufanya vizuri katika michuano mbalimbali.
SOUTHGATE AKIWA NA SALEH ALLY
Katika mahojiano na Daily Mail, Southgate amesema hata vijana wa chini ya miaka 15 au U15 wana kiwango cha juu na timu bora ambayo England haijawahi kupata.


Southgate aliyewahi kuwa nahodha wa timu tatu zinazoshiriki Ligi Kuu England kwa nyakati tofauti na kucheza mechi 57 katika ligi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic