May 5, 2015

ABOAGYE AKIPAMBANA NA EMMANUEL OKWI KATIKA MAZOEZI YA SIMBA, LEO.

Mshambiliaji Aboagye Nelson raia wa Ghana ametua jijini Dar es Salaam na kuanza majaribio.

Raia huyo wa Ghana leo alionekana katika mazoezi ya Simba kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam.


Hata hivyo, hakutaka kuzungumza kuhusiana na ujio wake Simba akisisitiza ni mapema.


Umbo lake, uwezo na nguvu alizokuwa zkitumia ilionekana kuwa kivutio kwa mashabiki waliokuwa uwanjani.

Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic amesema ni mapema kumzumgumzia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic