May 22, 2015

Viungo wawili wakongwe kabisa wa Ligi Kuu England, watacheza mechi zao za mwisho wikiendi hii.


Wawili hao, Steven Gerrard na Frank Lampard watakutana tena Marekani ambako wanakwenda kumalizia soka lao.
Lampard akiwa West Ham, Chelsea na Man City na Gerrard akiwa na Liverpool, wamekutana mara 32 katika Ligi Kuu England.

Pia wamewahi kukutana katika mechi mbalimbali za Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya mwaka 2005 hadi 2009.
Wawili hao ni kati ya viungo wa kiwango cha juu kuwahi kutokea England.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic