Hatimaye mabingwa wa Tanzania
Bara kwa msimu wa 2014-15, Yanga wamekabidhiwa kombe lao.
Pamoja na kipigo cha mabao 2-1
kutoka kwa Azam FC leo, Yanga wamekabidhiwa mwali wao huyo mbele ya Mwenyekiti
wao, Yusuf Manji.
Yanga walikabidhiwa kombe hilo
mara tu baada ya mechi dhidi ya Azam FC.
0 COMMENTS:
Post a Comment