May 25, 2015

 Ndani ya saa 24 baada ya kumaliza mechi yao ya mwisho Ligi Kuu England, Manchester City wamefunga safari kwenda nchini Canada kucheza mechi za kirafiki.


Man City waliomaliza ligi wakiwa katika nafasi ya pili baada ya ligi hiyo wakiwa wamevuliwa ubingwa na chelsea.

Wamepaa Canada kucheza mechi za kirafiki dhidi ya Toronto FC katika Uwanja wa BMO  na mechi ya pili watacheza dhidi ya Houston Dynamo saa 24 baadaye.
Halafu watakwenda Marekani kucheza na timu ‘ndugu’ yao ya New York City jijini New York.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic