Baada ya kumchapa Manny
Pacquiao na kuzua mjadala mkubwa, hatimaye Floyd Mayweather ameanza kutamba na
mikanda yake.
Mayweather aliyeshinda
pambano hilo kwa pointi kwamajaji
wote watatu kumpa ushindi ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akitamba na
mikanda yake hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment