May 28, 2015

SINGWACHA
Bondia Kiatchai Singwancha tayari ametua jijini Dar es Salaam kumvaa Francis Cheka.

Cheka anapanda ulingoni kupambana na Mthai huyo keshokutwa Jumamosi kwenye Ukumbi wa PTA jijini Dar es Salaam.

Singwancha ameonekana kujiamini na kusisitiza kwamba ana uhakika atafanya vizuri.


Mara baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA), leo mchana, bondia huyo alionekana kuwa kivutio kwa wengi kutokana na ukubwa wa umbo lake, maana ni mrefu, mwembamba na anaonekana kuwa na mwili uliojengeka vema kimazoezi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic