May 27, 2015

Uongozi wa Simba umeonyesha umepania kuimarisha safu yake ya ulinzi baada ya kumnasa beki wa JKT, Mohammed Faki, leo.


Fakli amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amethibitisha.

“Kweli Faki amesaini miaka miwili, hii ni sehemu ya kuhakikisha tunaimarisha safu ya ulinzi,” alisema.


Faki aliichezea JKT kwa ufanisi mkubwa katika msimu uliopita.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic