Simba imefanikiwa kumnasa beki wa kushoto wa Azam FC,
Samir Haji Nuhu na kumsainisha mkataba jijini Dar es Salaam, leo.
Beki huyo amesaini mkataba wa kuichezea Simba kwa
mwaka mmoja.
Beki huyo aliyewahi kuichezea Taifa Stars amesaini
mkataba huo mbele ya mjumbe wa kamati ya usajili ya Simba, Collins Frisch.
0 COMMENTS:
Post a Comment