Kaimu Mkurugenzi
wa Bodi ya Ligi, Fatuma Abdallah akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh milioni moja,
kiungo wa Coastal Union, Godfrey Wambura ambaye ameibuka
mchezaji bora wa mwezi wa Februari. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya
TFF, Khalid Abdallah na kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union, Salim Bawaziri
jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 COMMENTS:
Post a Comment