June 30, 2015

NGOMA AKISAINI...
 
Hatimaye mshambuliaji nyota kutoka Zimbabwe, Donald Ngoma amesaini miaka miwili kuichezea Yanga.


Ngoma pamoja na kiungo Joseph Zuttah 'Tetteh' naye amesaini miaka miwili kuichezea Yanga.
TETTEHWote wawili jana walifanyiwa vipimo vya afya na kufuzu. Leo wakafanya mazoezi na kikosi cha Yanga kabla ya kusaini mkataba leo.

Mmoja wa wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga, Isaac Chanji kwa kushirikiana na Katibu Mkuu, Dk Jonas Tiboroha ndiyo walishirikiana kukamilisha zoezi hilo.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic