July 1, 2015

Uwanja wa Millennium jijini Cardiff nchini Wales ndiyo utakaotumika kwa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2017.
Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) limeuchagua uwanja huo wenye uwezo wa kubeba mashabiki 74,500 baada ya kamati yake ya utendaji kukutana Prague.

Uamuzi huo wa Uefa umekuja ikiwa ni baada ya uwanja huo kupoteza nafasi hiyo katika fainali za mwaka huu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic