July 1, 2015


Kiungo Alex Massawe raia wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini ameanza majaribio rasmi kuwania kuichezea Simba,


Massawe ameanza majaribio leo jijini Dar es Salaam na taarifa zinaeleza kwamba anakipiga nchini Afrika Kusini katika timu ya daraja la pili ambayo haikuwekwa wazi.

Ameanza mazoezi leo chini ya Kocha mpya wa Simba, Dylan Kerr ambaye rasmi ndio ameanza kazi leo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic