July 1, 2015


Kocha mpya wa Simba, Dylan Kerr ameanza mazoezi ya kukinoa kikosi kipya cha Simba. Lakini ameonyesha wazi kwamba hajaja nchini kufanya mzaha.


Katika mazoezi yake ya kwanza kwenye Uwanja wa TCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam, Kerr alionekana yu makini na vitu vingi alipenda kuvitolea mfano kwa vitendo.

Mara kadhaa, kocha huyo alikimbia na wachezaji wake kuonyesha kwamba antaka wafanye vizuri kweli.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic