August 30, 2015

Mshambuliaji Uhuru Selemani, ameendelea kubaki benchi nchi Afrika Kusini.


Uhuru aliyejiunga kwa mkopo na Royal Eagles ya Afrika Kusini akitokea Jomo Cosmos ya nchini humo pia, bado hajapata kibali cha kufanya kazi.

“Kweli timu yangu imepoteza mchezo, lakini nimeendelea kuwa jukwaani kwa kuwa bado sijapata kibali,” alisema Uhuru.

Royal Eagles ilipoteza mechi yake ya ligi kwa kufungwa na FX Cape Town wakiwa nyumbani kwao jijini Dubarn.


Uhuru amejiunga na timu hiyo akitokea Mwadui FC na tatizo kubwa kwake kucheza limekuwa ni hilo la kibali cha kazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic