September 3, 2015


Straika Saido Berahino ameamua kuomba siku kadhaa za kupumzika.

Berahino atapumzika hadi Jumatatu wakati wemzake wanaingia mazoezini Ijumaa.

Hali hiyo imetokana na mgogoro na klabu yake ya Wes Brom Albion ambao ulitokana na kumzuia kutua Tottenham.

Kutokana na hali hiyo, Berahino mwenye asili ya Burundi akasema kamwe hataichezea timu hiyo chini ya mwenyekiti aliyepo sasa.

Hata hivyo klabu hiyo imeamua kumpa mapumziko ili aweze kurejea katika hali yake.


Naye akatupia picha mtandaoni akiwa ndani ya ndege ingawa haikujulikana anaenda wapi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic