September 2, 2015


Manchester United imeshusha lundo la lawama kwa vigogo wenzake Real Madrid kwa madai wamechangia kushindwa kwa kipa David De Gea kuhama kama mpango ulivyokuwa.


De Gea alikuwa atue Madrid kwa kitita cha pauni milioni 29, lakini hilo limeshindikana wakati dirisha la usajili limedungwa jana saa sita usiku.


Man United wamesema Madrid wamechelewesha nyaraka kadhaa ambazo zimesababisha kushindikana kwa uhakisho huo ambao pamoja na fedha, Man United wangempata kipa Keylor Navas.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic