September 2, 2015


Ungozi wa West Ham umeamua kuwa wazi kwamba pamoja na kwamba ulikuwa unamtaka Emmanuel Adebayor kwa udi na uvumba, lakini imeshindwa kutokana mshambuliaji huyo kuwa ghali sana.


Makamu Mwenyekiti wa West Ham, David Gold amesema gharama ndiyo zilizowashinda.


Mshambuliaji huyo Mtogo, alitarajia kuondoka Tottenham na kujiunga na timu hiyo ya Upton Park lakini gharama imekuwa shidaaa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic