September 2, 2015


Manchester United imekamilisha usajili wa kinda mkali, Anthony Martial.


United imemwaga kitita hasa baada ya kutoa pauni milioni 36 kumsajili kutoka Monaco ya Ufaransa.

Ingawa fununu zilizagaa mapema lakini hakukuwa na uhakika sana kama United itamnasa kinda huyo mwenye miaka 19 ambaye anaaminika kuwa mmoja wa wachezaji wenye uwezo wa juu sana.

Lakini jana ikiwa siku ya mwisho, United ilikamilisha kila kitu haraka yakiwemo mambo ya vipimo vya afya, malipo na mikataba.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic