September 2, 2015


Baada ya safari ya saa 7 angani kutoka Istanbul nchini Uturuki, Taifa Stars imerejea salama nchini na kupitiliza moja kwa moja kambini.


Chini ya Kocha Charles Boniface Mkwasa, Stars inatarajia kuendelea na mazoezi leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


Stars imeweka kambi ya zaidi ya wiki moja katika mji wa Karwtepe nchini Uturuki kujiandaa na mechi ya Jumamosi Septemba 5 dhidi ya Nigeria kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic