September 2, 2015

Viktoriya Gameeva anaelezwa kuwa daktari mpya wa Chelsea atachukua nafasi ya yule Eva Carnero.


Gameeva ni daktari wa Spartak Moscow' ya Urusi na inaelezwa kufanya mazungumzo na uongozi wa Chelsea.
 
CARNEIRO WAKATI AKIWA KAZINI CHELSEA
Hii inatokana na ule mgogoro kati ya Kocha Jose Mouringo na daktari Carneiro ambaye alisimamishwa.

Ingawa Chelsea haijatangaza rasmi lakini mwenyewe ametupia picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa amevaa jezi ya Chelsea hali ambayo inaongez asilimia kwamba anatua darajani kuchukua nafasi ya Carneiro kama ambavyo imekuwa ikielezwa.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic