October 4, 2015

Floyd Mayweather haishi mbwembwe, safari ameonekana akiwa ufukweni ‘anatanua’ na rafiki yake mwanamuzini Justin Bieber.

Wakiwa wamesimama huku wanahesabu fedha dola tena kwa wingi tu, baadaye wakapiga picha na kutupia  mtandaoni.

Bondia huyo amekuwa na tabia ya kufanya mbwembwe hali ambayo iliwahi kusababisha watu kumuambia kuchangia watu masikini wa Afrika, naye akasema fedha ni zake, hakuna aliyemsaidia kutafuta.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic