October 12, 2015

 Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari waliokuwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa walishindwa kuzuia mapenzi yao kwa kipa Ally Mustapha ‘Barthez’.

Wanafunzi hao wavulana kwa wasichana walimfuata Barthez ambaye pia ni kipa namba moja wa Yanga na kumuomba kupiga picha.

Barthez alikuwa mchezaji bora zaidi uwanjani katika mechi mbili ambazo Taifa Stars iliivaa Malawi na kushinda 2-0 jijini Dar es Salaam kabla ya kupoteza 1-0 ugenini Malawi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic