October 8, 2015


Hamisi Kiiza ana mbwembwe asee, licha ya kwamba ni majeruhi lakini aliibuka kuwapa kampani wenzake mazoezini pale Boko Veterani.


Kama haitoshi, aliamua kuonyesha ‘msuli’ alionao baada ya kubaki na ngyuo ya ndani kutembea akizunguka uwanja huku na kule kabla tena ya kuvaa fresh.

Ili mradi tu iwe nafasi kwa wengine kuona alivyojazia kimazoezi, au alitaka kujiachia. Hehe.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic