October 13, 2015

Kocha Juma Mwambusi ameanza kazi Yanga akiwa ni kocha msaidizi.


Mwambusi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City, ameanza kazi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam, jana na wakati anashuka kwa mara ya kwanza, alitanguliza mguu wa kulia huku akiwa anazungumza jambo.

Mwambusi alionekana ni kama mtu aliyekuwa akisoma dua, huenda akimuomba Mungu amjaalie afanye kazi yake vizuri.


Kocha huyo alianza kazi rasmi kwa kushirikiana na Kocha Mkuu, Hans van der Pluijm.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic