October 12, 2015


Beki Gerard Pique amepumzishwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania ambacho kinaivaa Ukraine, leo.


Kocha Vicente del Bosque amemuondoa Pique katika mazoezi ya juzi kabla ya mechi hiyo ya leo mjini Kiev.

Katika siku za hivi karibuni, Pique amekuwa akilaumiwa kutokana na kucheza chini ya kiwango.

Mara ya mwisho, Pique ambaye ni beki tegemeo wa Barcelona alicheza dakika zote 90 katika mechi dhidi ya Luxembourg ambayo Hispania ilishinda 4-0.


Ushindi huo umeipatia nafasi Hispania ya kucheza katika michuano ya Eirp 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic