October 13, 2015

Aliyekuwa kocha mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi ameanza kazi Yanga akiwa ni kocha msaidizi.

Mwambusi ameanza kazi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam, jana chini ya Mholanzi, Hans van der Pluijm.

Kocha huyo mzelendo, amechukua nafasi ya mzalendo mwenzake, Charles Boniface Mkwasa ambaye ameajiriwa kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic