October 13, 2015

 
Nahodha  Moshi Veterani, Jafari Kiango (kushoto), akimkabidhi mchezaji wa timu ya Boko, Godfrey Malekano ‘Messi’,  zawadi ya Mchezaji Bora wa Mwezi kwa niaba ya Zizzou Fashion, muda mfupi baada kumalizika kwa mchezo huo.

Kikosi cha wakongwe ya Moshi Veterani Wikiendi iliyopita iliitembezea kichapo Boko Beach Veterani kwa bao 1-0 kwenye mechi ya kudumisha urafiki baina ya timu hizo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Boko jijini Dar es Salaam.


Mechi hiyo ilikuwa ni ya kuvutia kutokana na timu zote mbili kucheza mpira safi wenye pasi fupifupi na za chini.
 
Kikosi cha timu ya Boko Beach Veterani kikiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya mchezo huo kuanza.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic