November 26, 2015




Vijana wa Simba wanaonekana wako siriaz na wamepania kufanya vizuri ikiwezekana kupata namba katika kikosi cha kwanza.

Vijana hao wameonyesha makali yao wakati walipocheza mechi ya kirafiki dhidi ya Simba kubwa ambayo iliwafunga kwa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.


Lakini mmoja wa makinda hao aliokuwa akicheza nafasi ya beki wa kati, alionekana hakuwa akitaka mchezo.


Mara kadhaa, alikuwa akiwagonga au kuwakwatua washambuliaji wa Simba kubwa akiwemo nahodha Mussa Hassan Mgosi ambaye wakati fulani alipitiwa na dogo huyo akalazimika kulala kwenye nyasi bandia za Uwanja wa karume licha ya jua kuwa kali.




1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic