November 29, 2015


Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Athumani Iddi Machuppa ameunga mkono kasi ya Rais John Magufuli ambaye ameonyesha hataki mchezo.

Machuppa ameunga mkono Serikali ya Magufuli kuvamia bandarini na kufanya ‘amshaamsha ya maana huku abadhi ya viongozi wakiwemo wa TRA wakitimuliwa kazi.

Machuppa ambaye sasa yuko nchini Sweden anakoendesha maisha yake ameeleza kusikitishwa na dhuruma aliyowahi kufanyiwa bandarini huku akisisitiza lazima mali ya umma iogopwe.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Machuppa ameandika:


“Inabidi ifike mahala mali ya umma iogopwe. Hao watu Bandarini washakula gari yangu mpya bila maelezo wallah, malipo hapahapa duniani. Asante Kwa kusafisha Bandari.”

2 COMMENTS:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. :-d sasa hiyo gari alidhulumiwa vipi nae... ache uongo na wakina nani walumdhulumu
    aeleze tu hiyo gari ili poteaje, labda ushuru ulimshinda ikapigwa mnada!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic