December 1, 2015


Kiungo nyota wa Barcelona, Neymar Jr, ameonyesha wazi kutofurahishwa na kuwepo kwa Cristiano Ronaldo katika wachezaji watatu walioingia fainali ya kuwania mchezaji bora wa dunia maarufu kama Ballon d’Or.


Watatu walioingia fainali ni yeye Neymar, Lionel Messi na Ronaldo wenye ushindani mkubwa.

Ingawa Neymar hajaenda moja kwa moja kusema Ronaldo asingeingia, lakini kauli yake kwamba Luis Suarez alistahili kuingia fainali, maana yake Ronaldo hakupaswa kuingia.

Pamoja na Neymar kuingia, Messi na Ronaldo bado wanaonekana kuendelea kuwa gumzo.


Lakini pia kufanya vizuri kwa Neymar mwishoni kunaonekana kuwa changamoto kwa wote hao wawili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic