December 1, 2015

  
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm ameendelea kukifua kikosi chake katika Uwanja wa Boko Veterani.
Pluijm zaidi alionekana kuwafundisha wachezaji wake kucheza kwa kasi huku akisisitiza suala la umakini.


Mara nyingi, Pluijm raia wa Uholanzi alikuwa akisisitiza suala la kuhakikisha hawapotezi pasi.
 

“Lazima uwe makini, piga pasi za uhakika na hakikisha unalinda mpira,” alisema akisisitiza.

Mara kadhaa, aliwaonyesha namna ya kukimbia na nini cha kufanya ili kuhakikisha wanatimiza malengo.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic