February 13, 2016



Kuna hofu huenda mechi kati ya Yanga na Cercle de Joachim SC ikasogezwa mbele kwa saa moja kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika mji wa Curepipe.

Uwanja umejaa maji, huenda kuna taratibu zitafanyika kuweka mambo safi ili mechi ichezwe.


Wakati mvua hiyo inaanza, tayari Yanga ilikuwa imetua uwanjani hapo tayari kabisa kwa mechi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic