February 14, 2016

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akiwa jukwaani na wachezaji wengine wa Yanga (Mbuyu Twite, Salum Telela, Geofrey Mwashiuya) wakati kikosi chao kikipambana na Cercle de Joachim ya Mauritius katika mechi ya kwanza ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga ilishinda kwa bao 1-0.

Cannavaro alikuwa kwa zaidi ya wiki tatu akusumbuliwa na enka baada ya kuumia akiwa katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars.


Kwa sassa amerejea uwanjani, ana siku tatu tu tokea ameanza kufanya mazoezi na wenzake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic